1 <?xml version="1.0" ?><!DOCTYPE translationbundle><translationbundle lang="sw"> 2 <translation id="3624204664103857160">Haikuweza kupakia ukurasa wa kifungua programu '<ph name="PAGE"/>'.</translation> 3 <translation id="8804398419035066391">Wasiliana na tovuti zinazoshirikiana</translation> 4 <translation id="7809034755304591547"><ph name="EXTENSION_NAME"/> (Kitambulisho ya kiendelezi "<ph name="EXTENSION_ID"/>") kimezuiwa na msimamizi.</translation> 5 <translation id="1005274289863221750">Tumia kipazasauti na kamera yako</translation> 6 <translation id="2857834222104759979">Faili ya ratiba sio halali.</translation> 7 <translation id="3828484226910527078">Fikia kifaa cha USB.</translation> 8 <translation id="6384275966486438344">Badilisha mipangilio yako ya kutafuta iwe: <ph name="SEARCH_HOST"/></translation> 9 <translation id="1445572445564823378">Kiendelezi hiki kinapunguza kasi ya <ph name="PRODUCT_NAME"/>. Unafa kukilemaza ili kurejesha upya utendaji wa <ph name="PRODUCT_NAME"/>.</translation> 10 <translation id="1033780634303702874">Fikia vifaa vyako tambulishi</translation> 11 <translation id="288042212351694283">Fikia vifaa vyako vya Ubia wa Hatua mbili</translation> 12 <translation id="5971037678316050792">Dhibiti hali na uoanishaji wa adapta ya Bluetooth</translation> 13 <translation id="677806580227005219">Kishikilio cha Mime: <ph name="MIMEHANDLERVIEW_TAG_NAME"/></translation> 14 <translation id="6241530762627360640">Fikia maelezo kuhusu vifaa vya Bluetooth vilivyooanishwa na mfumo wako na ugundue vifaa vya karibu vya Bluetooth.</translation> 15 <translation id="5911798608827489036">Badilisha data kwa kompyuta yoyote kwenye mtandao au intaneti ya karibu</translation> 16 <translation id="4719685943208231314">Fikia kifaa cha USB kutoka kwa <ph name="VENDOR_NAME"/></translation> 17 <translation id="8284835137979141223"><ph name="PRODUCT_NAME"/> kutoka <ph name="VENDOR_NAME"/></translation> 18 <translation id="6364903856942348513">Mchuuzi Asiyejulikana</translation> 19 <translation id="657064425229075395">Haikuweza kupakia hati ya mandharinyuma '<ph name="BACKGROUND_SCRIPT"/>'.</translation> 20 <translation id="9131487537093447019">Tuma na upokee barua kutoka kwenye vifaa vya Bluetooth.</translation> 21 <translation id="8198425243160395623">Fikia vifaa vyako vya USB</translation> 22 <translation id="8597109877291678953">Badilisha data kwa kompyuta iitwayo <ph name="HOSTNAME"/></translation> 23 <translation id="5456409301717116725">Kiendelezi hiki kinajumuisha faili muhimu '<ph name="KEY_PATH"/>'. Huenda hutaki kufanya hivyo.</translation> 24 <translation id="2350172092385603347">Usanidi wa eneo umetumiwa, lakini eneo_chaguo-msingi halikubainishwa katika ratiba</translation> 25 <translation id="3759933321830434300">Zuia sehemu za kurasa za mtandao</translation> 26 <translation id="8058376558882514200">Fikia kifaa cha USB <ph name="PRODUCT_NAME"/> kutoka kwa <ph name="VENDOR_NAME"/></translation> 27 <translation id="149347756975725155">Aikoni '<ph name="ICON"/>' ya kiendelezi haikuweza kupakiwa.</translation> 28 <translation id="8825366169884721447">Kiendelezi hiki kimeshindwa kuboresha kichwa cha ombi "<ph name="HEADER_NAME"/>" cha ombi la mtandao kwa sababu uboreshaji umekinzana na kiendelezi kingine (<ph name="EXTENSION_NAME"/>).</translation> 29 <translation id="4233778200880751280">Haikuweza kupakia ukurasa wa kuhusu '<ph name="ABOUT_PAGE"/>'.</translation> 30 <translation id="388442998277590542">Isingeweza kupakia ukurasa wa chaguo <ph name="OPTIONS_PAGE"/> '.</translation> 31 <translation id="6344170822609224263">Pata orodha ya miunganisho ya mtandao</translation> 32 <translation id="2616366145935564096">Soma na ubadilishe data yako kwenye <ph name="WEBSITE_1"/></translation> 33 <translation id="2518849872271000461">Badilisha data kwa kompyuta ziitwazo: <ph name="HOSTNAMES"/></translation> 34 <translation id="289069346039609763"><ph name="VENDOR_NAME"/> (<ph name="VENDOR_ID"/>), <ph name="PRODUCT_NAME"/> (<ph name="PRODUCT_ID"/>)</translation> 35 <translation id="1389014510128217152">- <ph name="WEBSITE_1"/></translation> 36 <translation id="973833515778624067">Chagua vifaa vya kutumia pamoja na <ph name="APP_NAME"/>.</translation> 37 <translation id="6408118934673775994">Soma na ubadilishe data yako kwenye <ph name="WEBSITE_1"/>, <ph name="WEBSITE_2"/>, na <ph name="WEBSITE_3"/></translation> 38 <translation id="961805664415579088">Badilisha data kwa kompyuta yoyote kwenye kikoa <ph name="DOMAIN"/></translation> 39 <translation id="3502064055007747926">Fikia vifa vyako vya kuingiza data</translation> 40 <translation id="8670869118777164560">Kiendelezi kimeshindwa kuelekeza upya ombi la mtandao kwenye <ph name="ATTEMPTED_REDIRECT_DESTINATION"/> kwa sababu kiendelezi kingine (<ph name="EXTENSION_NAME"/>) kimeelekeza upya kwenye <ph name="ACTUAL_REDIRECT_DESTINATION"/>.</translation> 41 <translation id="6840444547062817500">Kiendelezi hiki kilijipakia chenyewe upya kila mara.</translation> 42 <translation id="8047248493720652249">Kiendelezi hiki kimeshindwa kukipa kipakuliwa jina "<ph name="ATTEMPTED_FILENAME"/>" kwa sababu kipakuliwa kingine (<ph name="EXTENSION_NAME"/>) kimechagua jina tofauti la faili "<ph name="ACTUAL_FILENAME"/>".</translation> 43 <translation id="2732710576072980201">Bidhaa <ph name="PRODUCT_ID"/> kutoka kwa <ph name="VENDOR_NAME"/> (nambari ya ufuatiliaji <ph name="SERIAL_NUMBER"/>)</translation> 44 <translation id="4968399700653439437">Badilisha data kwa kompyuta yoyote kwenye vikoa: <ph name="DOMAINS"/></translation> 45 <translation id="5026754133087629784">Mwonekano wa wavuti: <ph name="WEBVIEW_TAG_NAME"/></translation> 46 <translation id="4789057617885588545">Bidhaa Isiyojulikana</translation> 47 <translation id="8284279544186306258">tovuti zote <ph name="WEBSITE_1"/></translation> 48 <translation id="8662911384982557515">Badilisha ukurasa wako wa mwanzo uwe: <ph name="HOME_PAGE"/></translation> 49 <translation id="27822970480436970">Kiendelezi hiki kimeshindwa kurekebisha ombi la mtandao kwa sababu ya ukizano wa urekebishaji na kirefusho kingine.</translation> 50 <translation id="2241053333139545397">Soma na ubadilishe data yako kwenye tovuti kadhaa</translation> 51 <translation id="8602184400052594090">Faili ya ratiba haipatikani au haisomeki.</translation> 52 <translation id="4883436287898674711">Tovuti zote <ph name="WEBSITE_1"/></translation> 53 <translation id="9111791539553342076">Kiendelezi hiki kimeshindwa kuboresha kichwa cha jibu "<ph name="HEADER_NAME"/>" cha ombi la mtandao kwa sababu uboreshaji umekinzana na kiendelezi kingine (<ph name="EXTENSION_NAME"/>).</translation> 54 <translation id="9150045010208374699">Tumia kamera yako</translation> 55 <translation id="5356315618422219272">Mwonekano wa programu: <ph name="APPVIEW_TAG_NAME"/></translation> 56 <translation id="8341840687457896278">Kiendelezi hiki kimeshindwa kutoa vitambulisho kwenye ombi la mtandao kwa sababu kiendelezi kingine (<ph name="EXTENSION_NAME"/>) kimetoa vitambulisho tofauti.</translation> 57 <translation id="5627523580512561598">kiendelezi <ph name="EXTENSION_NAME"/></translation> 58 <translation id="7893008570150657497">Fikia picha, muziki, na midia nyingine kwenye kompyuta yako</translation> 59 <translation id="4761104368405085019">Tumia kipazasauti chako</translation> 60 <translation id="7217838517480956708">Msimamizi wa mashine haya anahitaji <ph name="EXTENSION_NAME"/> kisakinishwe. Hakiwezi kuondolewa au kurekebishwa.</translation> 61 <translation id="6580950983454333167"><ph name="PRODUCT_NAME"/> kutoka kwa <ph name="VENDOR_NAME"/> (nambari ya ufuatiliaji <ph name="SERIAL_NUMBER"/>)</translation> 62 <translation id="7154130902455071009">Badilisha ukurasa wako uwe: <ph name="START_PAGE"/></translation> 63 <translation id="6758203075041033901">Bidhaa <ph name="PRODUCT_ID"/> kutoka kwa Muuzaji <ph name="VENDOR_ID"/> (nambari ya ufuatiliaji <ph name="SERIAL_NUMBER"/>)</translation> 64 <translation id="6698810901424468597">Soma na ubadilishe data yako kwenye <ph name="WEBSITE_1"/> na <ph name="WEBSITE_2"/></translation> 65 <translation id="5972529113578162692">Msimamizi wa mashine hii anahitaji <ph name="EXTENSION_NAME"/> kusakinishwa. Hakiwezi kuondolewa.</translation> 66 <translation id="2706892089432507937">Vifaa vya USB</translation> 67 <translation id="2457545405930252243">Chagua kifaa cha kutumia pamoja na <ph name="APP_NAME"/>.</translation> 68 <translation id="1803557475693955505">Ukurasa wa mandhari '<ph name="BACKGROUND_PAGE"/>' haukuweza kupakiwa.</translation> 69 <translation id="7972881773422714442">Chaguzi: <ph name="EXTENSIONOPTIONS_TAG_NAME"/></translation> 70 </translationbundle>