Home | History | Annotate | Download | only in values-sw
      1 <?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?>
      2 <!-- 
      3   ~ Copyright (C) 2015 The Android Open Source Project
      4   ~
      5   ~ Licensed under the Apache License, Version 2.0 (the "License");
      6   ~ you may not use this file except in compliance with the License.
      7   ~ You may obtain a copy of the License at
      8   ~
      9   ~      http://www.apache.org/licenses/LICENSE-2.0
     10   ~
     11   ~ Unless required by applicable law or agreed to in writing, software
     12   ~ distributed under the License is distributed on an "AS IS" BASIS,
     13   ~ WITHOUT WARRANTIES OR CONDITIONS OF ANY KIND, either express or implied.
     14   ~ See the License for the specific language governing permissions and
     15   ~ limitations under the License.
     16    -->
     17 
     18 <resources xmlns:android="http://schemas.android.com/apk/res/android"
     19     xmlns:xliff="urn:oasis:names:tc:xliff:document:1.2">
     20     <string name="ut_app_name" msgid="1442714127635348166">"Kisimbuzi cha USB cha Kupokea Mawimbi ya TV"</string>
     21     <string name="ut_setup_on" msgid="4957025496015647961">"Washa"</string>
     22     <string name="ut_setup_off" msgid="806521579574068484">"Zima"</string>
     23     <string name="ut_setup_cancel" msgid="6173771946434222551">"Tafadhali subiri ili uchakataji umalizike"</string>
     24     <string name="ut_select_channel_map" msgid="5007263088526410938">"Chagua chanzo chako cha stesheni"</string>
     25     <string name="ut_no_signal" msgid="6484545357071124354">"Hakuna Mawimbi"</string>
     26     <string name="ut_fail_to_tune" msgid="3995508747351098234">"Haikuweza kupata kituo cha <xliff:g id="CHANNEL_NAME">%s</xliff:g>"</string>
     27     <string name="ut_fail_to_tune_to_unknown_channel" msgid="5601031631838024181">"Imeshindwa kubadilisha kituo cha TV"</string>
     28     <string name="ut_rescan_needed" msgid="6652963050118174284">"Programu ya kisimbuzi cha USB ilisasishwa hivi majuzi. Tafadhali tafuta vituo tena."</string>
     29     <string name="ut_ac3_passthrough_unavailable" msgid="1511045190687189559">"Kipengele cha sauti cha AC3 hakipatikani"</string>
     30     <string name="ut_setup_breadcrumb" msgid="3057650688133018018">"Kuweka mipangilio ya kitafuta vituo"</string>
     31     <string name="ut_setup_new_title" msgid="4919412630138697597">"Kuweka mipangilio ya kitafuta vituo cha USB"</string>
     32     <string name="ut_setup_new_description" msgid="3950618124169419729">"Thibitisha kuwa kitafuta vituo cha USB kimechomekwa kwenye chanzo cha nishati na kuunganishwa kwenye chanzo cha mawimbi ya TV.\n\nKama unatumia antena ya hewani, huenda ukahitajika kurekebisha mkao wake au kule inakoelekezwa ili upate vituo vingi zaidi. Kwa matokeo bora zaidi, iweke sehemu ya juu iliyo karibu na dirisha."</string>
     33   <string-array name="ut_setup_new_choices">
     34     <item msgid="4294610848989236664">"Endelea"</item>
     35     <item msgid="7745727658174773453">"Si sasa"</item>
     36   </string-array>
     37     <string name="ut_setup_again_title" msgid="7493163856853246710">"Ungependa kuweka upya mipangilio ya vituo?"</string>
     38     <string name="ut_setup_again_description" msgid="6974243332718382952">"Hali hii itaondoa vituo vinavyopatikana kwenye kitafuta vituo cha USB na kutafuta vituo upya tena. \n\nThibitisha kuwa kitafuta vituo cha USB kimechomekwa kwenye chanzo cha nishati na kuunganishwa kwenye chanzo cha mawimbi ya TV.\n\nKama unatumia antena ya hewani, rekebisha mkao wake au kule inakoelekezwa ili upate vituo vingi zaidi. Kwa matokeo bora zaidi, weka antena yako sehemu ya juu iliyo karibu na dirisha."</string>
     39   <string-array name="ut_setup_again_choices">
     40     <item msgid="8729290093918719208">"Endelea"</item>
     41     <item msgid="4432431398374089710">"Ghairi"</item>
     42   </string-array>
     43     <string name="ut_connection_title" msgid="1689960211113015793">"Chagua aina ya muunganisho"</string>
     44     <string name="ut_connection_description" msgid="3218265227667113165">"Chagua Antena kama unatumia antena ya nje iliyounganishwa kwenye kitafuta vituo. Chagua Kebo kama vituo vyako vinapeperushwa na mtoa huduma za vifaa vinavyotumia kebo. Kama huna uhakika, aina zote zitatafutwa na huenda utafutaji ukachukua muda mrefu."</string>
     45   <string-array name="ut_connection_choices">
     46     <item msgid="1633072563555330217">"Antena"</item>
     47     <item msgid="2445879869338877559">"Kebo"</item>
     48     <item msgid="597328838068074806">"Sina uhakika"</item>
     49     <item msgid="3613410733017077040">"Kusanidi pekee"</item>
     50   </string-array>
     51     <string name="ut_channel_scan" msgid="5275436876483779315">"Kuweka mipangilio ya kitafuta vituo cha USB"</string>
     52     <string name="ut_channel_scan_time" msgid="5108578893396614867">"Hii inaweza kuchukua dakika kadhaa"</string>
     53     <plurals name="ut_channel_scan_message" formatted="false" msgid="8883404542863956040">
     54       <item quantity="other">Vituo %1$d vimepatikana</item>
     55       <item quantity="one">Kituo %1$d kimepatikana</item>
     56     </plurals>
     57     <string name="ut_stop_channel_scan" msgid="8358794117343664624">"SIMAMISHA UTAFUTAJI WA VITUO"</string>
     58     <plurals name="ut_result_found_title" formatted="false" msgid="4621251784881527371">
     59       <item quantity="other">Vituo %1$d vimepatikana</item>
     60       <item quantity="one">Kituo %1$d kimepatikana</item>
     61     </plurals>
     62     <plurals name="ut_result_found_description" formatted="false" msgid="1946474144459881182">
     63       <item quantity="other">Sadakta! Vituo %1$d vimepatikana baada ya kutafuta vituo. Kama hujaridhika, jaribu kurekebisha mkao wa antena na utafute tena.</item>
     64       <item quantity="one">Sadakta! Kituo %1$d kimepatikana baada ya kutafuta vituo. Kama hujaridhika, jaribu kurekebisha mkao wa antena kisha utafute tena.</item>
     65     </plurals>
     66   <string-array name="ut_result_found_choices">
     67     <item msgid="979481834388007277">"Imemaliza"</item>
     68     <item msgid="496688122303154468">"Tafuta tena"</item>
     69   </string-array>
     70     <string name="ut_result_not_found_title" msgid="3367485970267699896">"Hakuna Vituo vilivyopatikana"</string>
     71     <string name="ut_result_not_found_description" msgid="2230088613315287072">"Hakuna kituo chochote kilichopatikana wakati wa utafutaji. Thibitisha kuwa kitafuta vituo cha USB kimechomekwa kwenye chanzo cha nishati na kuunganishwa kwenye chanzo cha mawimbi ya TV.\n\nKama unatumia antena ya hewani, rekebisha mkao wake au kule inakoelekezwa. Kwa matokeo bora zaidi, iweke sehemu ya juu iliyo karibu na dirisha na utafute tena."</string>
     72   <string-array name="ut_result_not_found_choices">
     73     <item msgid="6593834378620684951">"Tafuta tena"</item>
     74     <item msgid="6784975565864102291">"Imemaliza"</item>
     75   </string-array>
     76     <string name="ut_setup_recommendation_card_focused_title" msgid="1003442802579648042">"Tafuta vituo vya TV"</string>
     77     <string name="ut_setup_recommendation_card_title" msgid="4192974818384769494">"Kuweka mipangilio ya kitafuta vituo cha USB"</string>
     78 </resources>
     79